Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Makongo, Dar Es Salaam


STAND ALONE HII HAPA
Nyumba ya vyumba vitatu kimoja master na sebure na jiko
Ipo makongo juu mti pesa
Bei ni laki 6 kwa mwezi ×6
Service charge elfu 20. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
Simu 0757 404087