Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA YA VYUMBA3 VYA KULALA INAPANGISHWA!
SIFA
VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINING
JIKO ZURI
TOILET PUBLIC
TILES, GYPSUM, MADIRISHA ALUMINIUM
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME LUKU YAKE
NDANI YA FENS
NYUMBA IPO PEKE YAKE
LOCATION
MBEZI RUGURUNI KM2 KWA MGUU KUTOKA BARABARA KUU
BEI
TSH. 350,000 KWA MWEZI
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177