Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA INAYOJOTEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI
STANDI ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
====
IPO MBEZI MAGUFULI STANDI
UMBALI KUTOKA MAGUFULI STANDI NI KM 1,5
BODA 1000/=
=====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA
DAINING STOO
JIKO NA CHOO CHA PABLIC
NYUMBA INA A/C
KWENYE. MASTAR NA
SEBULENI
===
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI 500,000/=X6
DALALI 500,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/
====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI