Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


STAND ALONE FOR RENT,NYUMBA YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA WALE WENYE FAMILIA KUBWA NYUMBA YENU HII HAPA
LOCATION:MBEZI MWISHO
PIKIPIKI:1000
KODI YAKE:400,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 6
SIFA YA NYUMBA
🥕VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
🥕SEBURE KUBWA
🥕DINNING
🥕JIKO SAFIII
🥕TOILET PUBLIC NA BAFU
🥕FENI
🥕FENCE
🥕MAJI DWASCO
🥕PAVING BLOCK
🥕TARK RESERVE
CONTACT
0782428327