Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba Inayojitegemea
(Stand Alone) Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Karibu na Shamo Towers) , Dar-Es-Salaam, Tanzania ๐น๐ฟ
Ina :
๐ข Vyumba Vitatu Vya Kulala(Kimoja Masta),
Sebule, Dining, Jiko, Choo cha Public
๐ข Vyumbani Kuna Makabati
๐ข Garden, Ac, Parking Space
๐ข Inajitegemea Kwenye Umeme na Maji
Kodi : 2,500,000 Tshs Kwa Mwezi
Kwa Mawasiliano Zaidi
0718 759287
0685 006223
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA



















