Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KISASA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MAWILI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร4
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐