Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KIBANDA CHA MKAA KM1.5 KUTOKA LAMI
---------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa
Dinning room
Public toilet
Madilisha ya shata
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000X6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
------------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏