Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAYOJITEGEMEA KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
MAFUNDI WAPO KAZINI KWENYE UKARABATI
🌟NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 400,000/= X 6
💫💫NYUMBA HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA KWENDA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI