Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NIMEISHUSHA BEI...NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA NA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#PARKING
BEI NI 400k X 6
ILIPWE laki nne KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
🎤NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#SERVICER_CHARGER_15000
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲
#0785889413