Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NIMEISHUSHA BEI SASA 💥650K X6 STAND ALONE INAPANGISHWA  MBEZI MWISHO KARIBU KABISA NA ROUND ABOUT YA DARAJA LA MAGUFULI BUS TERMINAL..
NYUMBA KUBWA INAYOJITEGEMEA NDANI YA FENCE 
INAPANGISHWA 
💥KODI YAKE 650K X6 
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MBEZI MAGUFULI TERMINAL NI DAKIKA 5 TU KWA MIGUU..
SIFA ZA NYUMBA::--
VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VIWILI KATI YA HIVYO, NI MASTER BEDROOMS SEBULE KUBWA, DINNING MAJIKO MAWILI, NDANI NA NJE PAMOJA NA STORE MAKABATI SAFI, NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI 
NYUMBA BADO NI MPYA KABISA, 
TILES JIPSUM, SLIDE WINDOW  NDANI YA FENCE YA PEKE YAKE PARKING KUBWA.
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI 
ILIPWE SHILINGI LAKI SITA NA NUSU KWA  MWEZI NA MUDA WA MALIPO NI MIEZI SITA 
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA 
SERVICE CHARGE NI TZS.20000 
_
#0714335450
#0714335450
__
PIGA SIMUUUUUUUUUUUU




















