Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000 K X6
APATIMENTI ZIPO MBEZI NJIA YA MALAMBA KITUO
KANISANI AU MSKITINI
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 6
SIFA YA NYUMBA
INAVYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTA SEBULE DAININGI JIKO
CHOO CHA PABILIKI
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
ZIPO NYUMBA TUTU KWENYE FENSI MOJA
NYUMBA MOJA IPO WAZI YA KUAMIYA TU
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413