Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO KARIBU NA STEND YA MKOWA.
---------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Full air condition
Garden safi
Tiles
Heater ya maji moto maji baridi
Gypsum
Maji yana flow
Paving block
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 800,000/=Γ6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 8
------------
Contact
π#0693_673010
π#0676_218580 (WhatsApp)
#Dalali_big_goba_mbezi_beach πΉπΏ