Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI ZIPO MBEZI MSUGURI UMBALI KILOMITA 3 POINT 5
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1500
AU UNAWEZA PITIA NJIA MBEZI MALAMBA KITUO KIFURU
UMBALI WA KUTOKA
KITUO KUTEMBEA DAKIKA 15 BODA BODA 1000
BARABARA NZURI INAPITIKA MUDA HOHOTE
SIFA ZA NYUMBA
KUNA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA
SEBULE JIKO NZURI
CHOO CHA PABILIKI
KODI 350000 K X6
KUNA NYINGINE
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALI KIMOJA MASTA SEBULE JIKO
CHOO CHA PABILIKI
KODI 400000 K X6
KUNA YA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA VIWILI MASTA CHOO PABILIKI JIKO NZURI SANA
SEBULE KUBWA DAININGI
KODI 500000 K X6
HIZI NYUMBA ZITAKAMILIKA TAREHE 25
MWEZI WA 9
ZIPO NYUMBA TANO KWENYA FENSI MOJA
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME
MAJI
NYUMBA MPYA ZA KISASA
YANI NZURI SANA
KUPELEKWA KUONA 20000
UKILIPA DALALA KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU
0789352273
0716171830