Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI (STAND ALONE HOUSE FOR RENT)
INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
π₯ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA, 1 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PARKING
BEI NI 300,000/= X 6
βΌοΈNOTE APO MIEZI 6
πΉπΏ NYUMBA HII IPO MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI 2.5KM
PIKIPIKI 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI