Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







BEBA HELA KABISA USIIKOSE HII NYUMBA
MPYAA KABISA
NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI
STAND ALONE YA NGUVU MAZINGILA TULIVU
===
VYUMBA VITATU VIKUBWA SANA KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA DAINING STOO JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
NYUMBA IPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA
UMBALI KUTOKA STENDI NI KM. 1,5
PKPK. 1000/=
===
KODI. 600,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 600,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
CONTACT
0742260844
0657384670