Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI
----------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 15,000/=.
Kodi 650,000/=Γ6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6.5
-------------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARAπΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT πΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π