Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
19/1/2025
Nyumba Nzima inapangishwa stand alone inajitegemea
Location Mbweni
Bei million 1 Kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 3 vyote master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Ac
Packing
Garden
Water heater
Other ament
Contact 0745010009 or 0741887333