Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE KWENYE FENSI)
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA (VIWILI NI MASTER), SEBULE KUBWA, DINING NA JIKO LENYE STOO YAKE. NYUMBA NZURI IMEJITOSHEREZA. MAJI YAPO DAWASA.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
KODI: 250000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI KWANZIA MIEZI 6.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.