Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Nyumba Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Sinza Madukani
Bei: 1,000,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 3 Kwenye Compound
☑️Kubwa Ya Kifamilia
☑️Vyumba 3, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Dining Jiko & Choo
☑️Jiko La Nje Pia
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme Na Maji
☑️Full Ac, Heater
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
#0786801000whatsapp