Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


NYUMBA
@
Inapangishwa
@
Bei 700.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni vyumba 3 sebule jiko choo
@
Chumba kimoja master
@
Umeme na maji mita yako
@
Parkingi ipo
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasilino ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687



















