Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam







NYUMBA YA VYUMBA VITATU(3) TSHS.800,000/MWEZI, SINZA.
Kwenye Kiwanja kuna nyumba kubwa na Apartments 2 lakini haziingiliani.
Huu ni upande unaoingia pekeyako.
Isipokuwa Parking tu ni ya witp.
Una Geti lako pekeyako.
Vyumba 3( Masta1 ) Sebule,Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Umeme na Maji unajitegemea.
Eneo ni jirani na Barabara ya Lami.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Ķuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mmD