Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam







𝐍𝐲𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐊𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐲𝐚 𝐊𝐮𝐩𝐚𝐧𝐠𝐚 #𝐒𝐭𝐚𝐧𝐝_𝐀𝐥𝐨𝐧𝐞
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: TABATA MAWENZI BARABARANI
#𝙐𝙢𝙗𝙖𝙡𝙞: Kutembea Kwa Mguu Dakika 3 Kutoka Barabarani Kituoni
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• SEBULE KUBWA
• VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA MASTER
• JIKO KUBWA
• PUBLIC TOILET
• STOO
• RESERVE TANK (DAWASA)
Nyumba Inajitegemea yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo. Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
0715949085
0782838336



















