Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


NEW STEND ALONE FOR RENT.
TABATA BONYOKWA.
STEND ALONE.
SERVICE CHARGE SH 20,000/.
MALIPO YA DALALALI NI MWEZI 1
BEI SH 500,000/.
LOCATION: TABATA BONYOKWA.
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE
NDANI YA FENCE.
VYUMBA 3 VYA KULALA
MASTER 1
SEBLE KUBWA SAFI
PUBLIC TOILET INSIDE
JIKO NDANI KUBWA SAFI.
MAFENI JUU
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
PARKING KUBWA
PAVING BLOCKS
USALAMA
NYUMBA NI NZURI.
MAZINGIRA TULIVU.
MAWASILIANO:
0654154140/whatsapp/call
0624808238/call