Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


STEND ALONE HOUSE ๐ / NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYEWE INAPANGISHWA
IPO TABATA KINYEREZI
INA VYUMBA VITATU
VYOTE MASTA
SEBULE
DINING ROOM
JIKO LENYE MAKABATI
____________
PARKING IPO
NDANI YA FENCE INAJITEGEMEA YENYEWE
MAJI UMEME FULL
_____________
KODI TSH 400,000 KWA MWEZI
PIGA ๐ 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
=============