Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Tabata Baracuda.
- Vyumba vitatu (viwili master)
- Sebule kubwa
- Jiko lenye makabati
- Vyumba anaweka makabati
- Anaweka A/C kote
- Anaweka water heater kote
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Kuna kisima
- Paving anaweka
- Parking ipo
- Wapangaji wawili
- Dakika 0 kutoka kituoni
KODI 1,000,000/=.
N.B: YA VYUMBA VIWILI PIA IPO. KODI 800,000/=.
KUINGIA NI TAREHE MOJA MWEZI WA SITA 2025.
KUONA NA KULIPIA RUKSA.
SERVICE CHARGE 20,000/=.
UDALALI SAWA NA KODI YA MWEZI MMOJA.
MUHITAJI PIGA 0688 412 890.