Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


LOCATION: TABATA SANENE
UKUBWA WA KIWANJA:
SQM 350
APA UNAJENGA NYUMBA NZURI YA VYUMBA VITATU NA KUACHANA NA MAISHA KUPANGA 😔
BEI: MIL 15 #MaongeziYapo
- Ni karibu kabisa na main road (DAKIKA 5)
- Kipo ndani ya fence
- Huduma zote za kijamii zipo
- Ni tambarare
- Mtaa mzuri
- Bei rafiki kabisa
- Eneo ni very potential
HII KWA WAWEKEZAJI PIA SIO PAKUACHA KABISA
APARTMENTS UNAWEZA JENGA APO MASTER (CHUMBA NA CHOO) NA KUTENGENEZA FAIDA KUBWA TU😋😋😋
PANAFAA KWA UJENZI WA NYUMBA ZA BIASHARA (APARTMENTS) AU MAKAZI BINAFSI
KARIBU SITE TUFANYE BIASHARA
#WekezaKwenyeArdhi
Muhitaji piga 0688 412 890