Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Baracuda. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Vyumba viba makabati
- Public toilet
- Water reserve tank
- Parking
- Fence
- Dakika 1 kutoka kituoni
Kodi 600,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.