Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe
Nyumba hii Ina Faa Kwa Office NK
Location Ubungo External Dakika Chache Kutembea Mpaka Main Road 🛣️ Lami
Kodi 600000×6 Maongezi yapo Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona
Sifa zake
=========
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room Kubwa
Dining room
Jiko
Store
Public toilet
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Mabanda ya Kufunga Kuku
Kulima Mboga Mboga
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565