Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for rent stand alone inayojitegemea ndani ya fency
Location ubungo makoka kwa mkua km2 usafiri upo bajaji na boda na daladala za kwenda mjini
Kodi 500000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Room 3 moja ni master bedroom
Sitting room
Kitchen with cabinet
Public toilet
Umeme luku yake
Maji dawasa ndani yanafloo mita yake
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128



















