Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea
Location Ubungo Riverside Kibangu Dakika 12 Kutembea mpaka Kituoni
Kodi 600000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting Room Kubwa
Kitchen
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Tank lako Lita 3000 Juu
Parking space fancy
Pavin Block
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi usitume sms utachelewa Kujibiwa
0712500602
0755336565