Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT STAY ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENCE KODI 500,000×6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SIDE AU KIMARA KOROGWE
SIFA ZAKE
#VYUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA
#SITING ROOM KUBWA
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LINAWEKEWA MABO YA KUOSHEA VYOMBO
NA TAILZ UKUTANI
#PUBLIC TOILET BAFU NA CHOO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME INAJITEGEMEA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
KUONYESHWA NYUMBA TSH 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258