Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







House for Rent Stand Alone Inajitegemea fancy yake Mwenyewe INAFAA Office NK
Location Ubungo External Dakika Chache Kutembea mpaka Kituoni Barabarani
Kodi 800K ×6
Sifa zake
Room 3 Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Bafu
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Block
Garden nzuri
Good environment
NB Itakua wazi Tarehe 27 Mwezi 11 Kuona Nyumba na Malipo Ruhusa
survey charge elfu 20,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
Piga sim Kwa Maelezo zaidi O677370515 /0688991244



















