Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ukonga, Dar Es Salaam
NYUMBA MPYAAAA STAND ALONE INAPANGISHWA UKONGA MKOLEMBA INA
. VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
. SEBULE KUBWA
. DINING YA KISASA
. JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
. STOO YA KIBABE
. PUBLIC TOILET YA NDANI
. PUBLIC TOILET YA NJE
. NDANI YA FENSI INAJITEGEMEA YENYEWE
. KODI 250,000 KWA MWEZI..
SERVICE CHARGE 20,000.
0785918259..