Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam







🏠 INAPANGISHWA STAND ALONE –TEGETA WAZO CONTENA DAR ES SALAAM
💰 Kodi: Tsh MIL 1,500,000/= kwa mwezi
🎤MALIPO YA MIEZI 12
✨ Sifa za nyumba:
• Vyumba 3 vikubwa vya kulala (Master mbili)
• Sebule kubwa na Jiko lenye makabati
• Bafu la ndani na la public
• Gypsum, Tiles, na Windows za Slides
• Umeme wa Luku binafsi
• Maji ya bomba saa 24
• Parking space ipo
• Nje imepangwa kwa Paving blocks
• Nyumba imezungushiwa uzio (Fenced)
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















