Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Wazo, Dar Es Salaam







Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo Msigani
Ina Vyumba 3 vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 600.000
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744