Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Iyumbu NHC, Dodoma


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inapangishwa.
Ipo Iyumbu NHC karibu na Jozee GYM
Ina vyumba 3, master Bedroom, jiko, sebule, dining. Ipo kwenye Fence stand alone.
Kodi Tshs.350,000 kwa mwezi




















