Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kinondoni, Dar Es Salaam


🏠 STAND ALONE HOUSE INAPANGISHWA – KINONDONI (KWA PINDA)
💰 Kodi: 3,000,000/= kwa mwezi
🗓 Malipo: Miezi 6
🛏 Vyumba 3 vya kulala – vyote Master
🛋 Sebule kubwa na ya kisasa
🚻 Public toilet ipo
❄ Air Conditioner kila chumba na sebule
🍽 Jiko kubwa la kisasa + Store
🚗 Parking ya kutosha kabisa
✨ Eneo tulivu, salama na la hadhi ya juu
👑 Inafaa kwa familia au ofisi ya kiwango cha juu
📞 Wasiliana sasa: 0678512666



















