Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Makongo Juu, Dar Es Salaam


Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Huduma na Sifa
Maelezo
Ipo makongo juu inajitegemea 1000,000 kwa mwezi mafundi wapo kazini kusafisha na kupiga rangi nyumba yote mpaka kwenye fens.ina vyumba vitatu kimoja masta sebule jiko na diining na public toilet ina AC mbili sebuleni na mwenye masta.1000,000 kwa .wezio. 071453960



















