Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


nyumba inapangishwa ipo Mbweni JKT
ina vyumba vitatu vya kulala Sebule jiko na public toilet
inajitegemea umeme na maji yanaflow ndani
KODI 1M kwa mwezi
ndani ya Fensi Parking ipo kubwa sana
survey charge 30,000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
O677370515 whatsapp
O688991244 normal call



















