Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bunju, Dar Es Salaam


Nyumba Mpya Inauzwa
Mahali: Bunju Beach Moga
Bei: Milioni 350
Mtaa Ni Wa Kishua Sana๐๐ป
โ๏ธSqm750
โ๏ธHati Miliki Imenyooka
โ๏ธVyumba 3, Kimojawapo Ni Master, Sebule, Dining, Jiko Na Choo
โ๏ธFensi Ya Umeme, Garden, Cctv Camera
โ๏ธMaji Dawasa & Reserve Tank
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 50,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Office Space Pia Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu๐
#MasterMijengo #DalaliMasterTz