Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Bweni, Tanga
TAREHE 28/11/2024
PAGALE LINAUZWA
LENYE VYUMBA 3 VYAKULALA
UWANJA SQM 1200 NYARAKA ZA SERIKALI ZA MITAA
BEI MIL 17 MAONGEZI YAPO
UNAINGILIA BWENI. MWISHO. ZINAPOISHIA DARA DARA
CONTACT 0659411652/0694226665
GHARAMA YAKUONA VIWANJA
ELFU 50