Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chamazi, Dar Es Salaam







NYUMA IPO NDANI CHAMAZI MAJI MTAA WA DOVYA JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE KATA YA CHAMAZI INA UZWA BEI YA KUTUPA SANA TSH MIL 70 TU
BONGE LA JUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM
NA DAININGI ROOM INA JIKO NA STORE INA PUBLIC TOILET INA MAJI NA UMEME UPO WA RUKU
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITER 450
INA FULL DOCUMENTS YA MAUZIANO YA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO JILANI NA HOSPITAL YA CHAMAZI
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175
0759 203175 π