Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MVUTI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM
KWA TSHG MIL 24
UKUBWA WA ENEO SQM 400
INA VYUMBA 3 VYA KULALA CHUMBA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO STOO NA SITTING ROOM
IKO NDANI YA FENSI NA SERVANT QUARTER IPO
GHARAMA YA KWENDA KUANGALIA NYUMBA NI 20,000/=