Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA GOBA MAGETI
UMBALI DAKIKA 3 HADI 5 KUTOKA LAMI
IPO GOBA MAGETI
BEI TSH MILIONI 150 MAZUNGUMZO YAPO
UKUBWA WA KIWANJA CHA NYUMBA NI SQM 700
UMILIKI: MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA PAMEPIMWA TAYARI BADO KUTOKA HATI
VYUMBA 3 VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
SITTING ROOM
DINNING ROOM
KITCHEN
STORE
PUBLIC TOILET
FENCED AND GATE
MAJI YAPO
UMEME UPO
GHARAMA YA KUPELEKWA SITE KUONESHWA NYUMBA TSH 30,000/=
0746 433 854