Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam






NYUMBA YENYE VYUMBA 3, TSHS.60 MILIONI, GOBA MUUNGANO.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa na nyumba ipo ndani ya Fensi.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kjna Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ina Tiles,Gypsum,
Dirisha za Vioo, ACs na Parking yakutosha.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.