Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA IPO GOBA. MITA 200TOKA LAMI
---------MILIONI 130. MAONGEZ MAZURI YAPO.
GOBA .
INA VYUMBA 3 VYA KULALA [ Masterbedroom kubwa yenye makabati ]
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
TAILS
GYPSUM
REZEV SIMTANK
PUBLIC TOILET YA NJE
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW YAPO 24HRS. INA FENSI KALI SANA MAZINGIRA MAZURI l
---------
UKUBWA WA ENEO NI SQM = 600
KIWANJA KIMEPIMWAA
BEI MILIONI --130
MAZUNGUMZO YAPO.
------OFA YA FUNGA MWAKA!!
KARIBU SANA HII NYUMBA NI BEI MZUR SANA SANAAAAA
---------
WASALIANA NAS KWA NO *#0652407997📲📲🇹🇿🇹🇿🇹🇿whatsptu0767427997