Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyuma ya kisasa kabisa wadau wangu bonge la jumba ipo goba njia nne jiji la dar es Salam wilaya ya kinondoni
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room na dining room inajiko na store ina kisima chamaji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana
Bei ya kutupa sana tsh mil 140 tu
Eneo square mitar 460
Ina hatty miliki ya widhara
Kutoka bara bara kuu ya lami kuja kwenye hii ni mitar 40
Kwa maelekezo zaidi nipigie cm au nicheki whatspp 0759 203175 0759 203175 0652618143