Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Dar Es Salaam




NYUMBA MPYA YA KISASA, SASA IMESHUSHWA BEI, KIBADA-KIGAMBONI.
SASA INATAKIWA TSHS.150 MILIONI.
Ni nyumba nzuri ya kisasa ya KUHAMIA.
Ipo Mita chache kutoka Barabara ya Lami.
Wastani wa mita 400.
Eneo ni KIBADA-KIGAMBONI.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna nyumba ndogo pembeni yenye vyumba 2
Pamoja na Choo cha NJE kwaajili ya Wageni wasiolazimika kuingia ndani.
Kiwanja SQM.700.
UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mmwnd
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.