Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


HOUSE FOR SALE || NYUMBA INAUZWA
(STAND ALONE)
🇹🇿📍Location :KIBUGUMO KIGAMBONI DAR)
🗣Vyumba VITATU vya kulala ,Siting room,Kimoja Ni master (yaani self contained), JIKO ,Maji yasiyokuwa na chumvi,Luku ,Tiles, pubic toilet, Gypsum, slidewindow, Servant Coter ,Swiming pool PARKING,parving brocks,
🔽SQ 300 /SALE AGREEMENT
🤝BEI MILLIONI STINI NA TANO (
65,000,000/=) Maongezi
___
🏍Service charge Elfu 50 TZS hadi unapata nyumba utakayoipenda💯
___
Kwa mawasiliano zaidi
☎️CALL
📶0686 705 903