Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA, VYUMBA VITATU (3) TSHS.170 MILIONI, KÌBADA KIGAMBONI.
Madalali: HAPA NACHINJA MWENYEWE.
Nyumba nzuri, mpya, ya kisasa ambayo,
HAIJAWAHI KUKALIWA.
Kiwanja SQM.700.
Umiliki ni MKATABAWAMAUZIANO.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Mita chache sana kutoka Barabara ya Lami.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_______________mWnd
Vyumba 3 vya kulala ( Masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Vile kuna Banda la nyuma lenye vyumba 2 tofauti,
Kimoja Choo chake ni cha ndani na kuna Choo cha Wageni nje.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
.